Leo nakukutanisha na warembo 7 wanaowakilisha nchi mbalimbali za Afrika kwenye stage ya Miss Universe zitakazofanyika Dec.20 katika ukumbi wa Planet Hollywood Las Vegas Resort & Casino katika jiji la Las Vegas Marekani.
Warembo hao wanaonekana wakiwa katika vazi la usiku akiwemo mrembo anayeiwakilisha Tanzania Lorraine Marriot.

Whitney Shikongo-Angola

Ornella Obone-Gabon

Hilda Frimpong– Ghana

Sheetal Khadun- Mauritius

Debbie Collins- Nigeria

Refilwe Mthimunye- Afrika Kusini

Lorraine Marriot- Tanzania
0 comments:
Post a Comment